Katika misele ya mpekuzi wetu leo amekuletea hii kitu.hawa wanawake wako facebook na wanaupload picha kama hizi je sasa tanzania imekuwa marekani mbona utamaduni unapotea ukiuliza wanaishi kizungu hao
madada wa wili kuna Husna na Neema wote wako hapa hapa dar kupiga picha sawa atukatazi ila angalia na sehemu za kuweka wapo nusu uchi si sahihi kila mtu kuona maungo yako hayo mauongo kamuonyeshe mumeo chumbani ili azidi kukupenda
CHEKI PICHA ZAO HAPO CHINI







0 Response to " HAWA MABINTI WAMEAMUA KUFANYA BIASHARA HII FACEBOOK....JE ANGEKUWA MWANAO UNGEFANYAJE"
Post a Comment